Pages

Wednesday, September 29, 2021

Tunakuja Na Muongozo Wa Matumizi Ya Fedha Za Uendeshaji Wa Halmashauri - Waziri Ummy

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI akiteta Jambo na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mwigulu Nchemba wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa-ALAT
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania Mhe. Murshid Ngeze wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa ALAT
 
Baadhi wa Wajumbe ww Jumuiya ya Serikali za Mitaa-ALAT wakifuatilia Mkutano.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Ummy Mwalimu akihutubia wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa-Alata

 

No comments:

Post a Comment