Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokelewa na mwenyeji wake, Makamu wa Rais wa
Burundi, Prosper Bazombanza, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege
wa Bujumbura, akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01,
2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bujumbura na
akipokelewa na mwenyeji wake, Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper
Bazombanza (kulia), akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai
01, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makamu wa Rais wa Burundi, Prosper Bazombanza, akiwa katika ziara ya siku moja nchini Burundi Julai 01, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment