Pages

Thursday, July 1, 2021

WABUNGE WANAWAKE NA WATUMISHI OFISI YA BUNGE WANAWAKE WAMPONGEZA MWANAMKE WAKWANZA ALIYETEULIWA KUWA KATIBU WA BUNGE


Wajumbe wa Chama cha Wabunge Wanawake (TWPG) wakimpatia zawadi  Bi. Nenelwa Mwihambi (wa pili kushoto) ya pongezi kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika tukio lililofanyika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Wanawake (TWPG), Mhe. Shally Raymond (wa pili kushoto) akizungumza wakati wa tukio la kumpongeza Bi. Nenelwa Mwihambi  kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi akizungumza wakati wa tukio la kumpongeza kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.
 Wanawake Watumishi wa Ofisi ya Bunge wakimpatia zawadi ya pongezi Bi. Nenelwa Mwihambi (wa tatu kushoto) kwa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Katibu wa Bunge katika tukio lililofanyika ukumbi wa Pius Msweka Jijini Dodoma.

PICHA NA BUNGE

 

No comments:

Post a Comment