Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip “ iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar hafla iliyofanyika leo(kushoto) Mke wa Rais Mama Marium Mwinyi .[Picha na Ikulu] 30/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza (wa nne kulia) alipotembeleamaeneo mbali mbali katika “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” mara baada ya Uzinduzi wa Hoteli hiyo aliyoifungua leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar .[Picha na Ikulu] 30/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar .[Picha na Ikulu] 30/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Viongozi pamoja na kupata maelezo kutoka kwa Mwekezaji Nd.Hassan Raza baada ya kutembelea patika vyumba mbali mbali vya “Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” katika uzinduzi wa Hoteli hiyo leo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar .[Picha na Ikulu] 30/07/2021.
Waalikwaka waliohudhuria uzinduzi wa Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip” iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar wakifuatilia kwa makini na kusikiliza taarifa zilizotolewa katika sherehe ya ufunguzi wa hoteli hiyo leo [Picha na Ikulu] 30/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Nchi Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga(kulia) na Mwekezaji Nd.Hassan Raza wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Nd,Shariff Ali Shariff (hayupo pichani) alipotoa taarifa ya kitaalam kuhusu Uzinduzi wa Hoteli hiyo aliyoifungua leo Katixa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar .[Picha na Ikulu] 30/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi pamoja na Mwekezaji wa Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip Nd,Hassan Raza (kulia) alipowasili katika viwanja vya hoteli hiyo iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 30/07/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifungua pazia kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Golden Tulip iliyopo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo (wa nne kushoto) Mwekezaji wa hoteli Nd,Hassan Raza.[Picha na Ikulu] 30/07/2021. leo.[Picha na Ikulu] 30/07/2021.
No comments:
Post a Comment