

Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali
mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 1 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni mara
baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo tarehe 1 Juni, 2021.
No comments:
Post a Comment