Pages

Thursday, April 1, 2021

WAZIRI KABUDI APOKELEWA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Waziri Kabudi akiwa ofisini kwake pamoja na viongozi wengine wa Wizara hiyo. Kulia ni Naibu Waziri Geophrey Pinda, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ndg. Amon Mpanju na wa pili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Prof. Sifuni Mchome.

Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi apokelewa wizarani hapo leo baada ya kuapishwa kuiongoza wizara hiyo baada ya mabadiliko madogo ya baraza la Mawaziri lililofanywa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Waziri Kabudi akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria.

Waziri Kabudi akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili ofisini kwake Wizara ya Katiba na Sheria.

 

No comments:

Post a Comment