Pages

Thursday, April 1, 2021

MATUKIO KATIKA PICHA YA WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, Bungeni jijini Dodoma, April 1, 2021. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Wabunge kwenye viwanja vya Bunge, kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Mjini Adv. Stephen Byabato, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Ndaisaba George Ruhoro na Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Magharibi, Ezra Chiwelesa, jijini Dodoma, April 1, 2021.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, April 1, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

No comments:

Post a Comment