"Mama
Suzan Magufuli mama yake marehemu Rais ni mama yangu pia kila
nilipopata fursa ya kutembelea hapa Chato nilipokuwa waziri na hata
baadae nilipokuwa Rais sikuacha kufika nyumbani kumsalimia mama yetu
niliketi nae kwenye mkeka tukazungumza ya mama na mwanae". Kikwete
Marehemu Dkt Magufuli akiwa na Mama yake mzazi Suzana huko kijijini kwao Lubambangwe Chato mkoani Geita wakati wa enzi zake
No comments:
Post a Comment