Makamu
wa Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Philip Isdor
Mpango akiapa kuwa Makamu wa Rais mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania
Prof.Ibrahimu Juma, leo Ikulu Chamwino jijini Dodoma.Uapisho huo
umeshuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu
Hassan.
No comments:
Post a Comment