Balozi Brigedia Jenerali Ibuge: Tuendelee Kudumisha Mahusiano yaKidiplomasia na Biashara.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge na Mhe. Abdallah
Abas Kilima Balozi wa Tanzania nchini Oman wakiwa katika picha pamoja baada ya
mazungumzo yaliyofanyika jijini Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge na Mhe. Abdallah
Abas Kilima Balozi wa Tanzania nchini Oman wakiwa kwenye mazumgumzo
yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge na Mhe. Fatma M.
Rajab Balozi wa Tanzania nchini Qatar wakiwa kwenye mazumgumzo yaliyofanyika
katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge na Mhe. Fatma M.
Rajab Balozi wa Tanzania nchini Qatar wakiwa katika picha ya pamoja baada ya
mazungumzo yaliyofanyika jijini Dodoma
No comments:
Post a Comment