Mbunge wa Jimbo la
Uzini,Khamis Hamza Chilo,akishiriki ujenzi wa vyumba vya madarasa baada
ya kukabidhi Mabati,Mifuko ya Saruji na matofali wakati wa Ujenzi wa
Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Mchangani,iliyopo Wilaya ya
Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,leo.Wanafunzi wa shule hiyo wanakabiriwa na
upungufu wa madarasa.Picha na Mpigapicha Wetu
Mbunge wa Jimbo la
Uzini,Khamis Hamza Chilo(aliyeinua mkono), akikabidhi mifuko ya Saruji
ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi
Mchangani,iliyopo Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,leo.Wanafunzi wa
shule hiyo wanakabiriwa na upungufu wa madarasa.Picha na Mpigapicha
Wetu
Mbunge wa Jimbo la
Uzini,Khamis Hamza Chilo(watatu kulia), akikabidhi mabati ya Ujenzi wa
Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi Mchangani,iliyopo Wilaya ya
Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,leo.Wanafunzi wa shule hiyo wanakabiriwa na
upungufu wa madarasa.Picha na Mpigapicha Wetu
Mbunge
wa Jimbo la Uzini,Khamis Hamza Chilo(aliyeinua mkono), akikabidhi
matofali ya Ujenzi wa Vyumba vya Madarasa katika Shule ya Msingi
Mchangani,iliyopo Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja,leo.Wanafunzi wa
shule hiyo wanakabiriwa na upungufu wa madarasa.Picha na Mpigapicha
Wetu
No comments:
Post a Comment