RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Profgesa Neema Mori
alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Marina Mtini Jijini
Zanzibar kuhudhuria Semina Maalum iliyoandaliwa na Benki kwa Viongozi
Waandamizi na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliofanyika jana
usiku 28/11/2020
katika viwanja vya Marina na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla
ya Semina Maalum ilioandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania kwa Viongozi
Waandamizi na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliofanyika
katika viwanja vya Marina Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar jana usiku 28/11/2020.
MAKAMU Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Benki ya CRDB Tanzania Profesa Neema Mori akizungumza na
kutowa neno la shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) baada ya
kumalizika kwa hafla hiyo ya Semina kwa Viongozi Waandamizi na Wajumbe
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliofanyika katika viwanja vya Marina
Hoteli ya Verde Mtoni
Jijini Zanzibar jana usiku 28/11/2020.
WASANII wa Kikundi cha Siti Band wakitowa burudani wakati wa hafla ya Semina ya Viongozi Waandamizi na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliofanyika katika viwanja vya Marina Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar jana usiku 28/11/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na
kuzungumza na Msanii wa Siti Band Amina Omar Juma, baada ya kumalizika
kwa hafla ya Semina ya Viongozi Waandamizi na Wajumbe wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar iliofanyika katika viwanja vya Marina Hotel ya
Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya
Rais Fedha na Mipango
Zanzibar.Mhe.Jamal Kassim Ali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Tanzania Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, wakiwa katika viwanja vya Marina Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia katika hafla ya Semina ya Viongozi Waandamizi na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, ilioandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania katika viwanja vya Marina Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama na Viongozi wa meza kuu wakati ukipigwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa hafla Semina ilioandaliwa na Benki ya CRDB kwa Viongozi Waandamizi na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar , iliofanyika katika viwanja vya Marina Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe. Jamal Kassim Ali na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdull
BAADHI ya Viongozi wa CRDB na
Serikali wakiwa katika ukumbi wa Marina wamesimama baada ya kuwasili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein
Ali Mwinyi (hayupo pichani) ukipigwa wimbo wa Taifa, wakati wa hafla ya
Semina maalum ilioandaliwa na Benki ya CRDB kwa Viongozi Waandamizi na
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliofanyika kjatika viwanja
vya Marina Hoteli ya Verde Mtoni
Jijini Zanzibar jana usiku 28/11/2020
SHEIKH Abdulkadir Said Abdalla akisoma Quran kabla ya kuaza kuaza kwa Semina Maalum ilioandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania kwa Viongozi Waandamazi na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliofanyika katika viwanja vya Marina Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar jana usiku 28/11/2020
MKURUGENZI Mtendajhi wa Benki ya CRDB Tanzania Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela akiwasilisha Mada ya Maendeleo ya Benki ya CRDB kwa Washiriki wa hafla hiyo Viongozi Waandamizi na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, iliofanyika katika viwanja vya Marina Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar jana usiku 28/11/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mada ya
Maendeleo ya Benki ya CRDB ikiwasilishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB
Ndg. Abdulmajid Mussa Nsekela, iliofanyika jana usiku 28/11/2020 katika
viwanja vya Marina Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar na (kulia kwa
Rais) Spika wa
Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe.
Jamal Kassim Ali na Makamu wqa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemede
Suleiman Abdulla
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Fedha
na Mipango Zanzibar Mhe. Jamal Kassim Ali akizungumza wakati wa hafla
ya Semina ya Viongozi Waandamizi ba Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar , iliofanyika katika viwanja vya Marina Hoteli ya Verde Mtoni
Jijini Zanzibar iliofanyika jana usiku 28/11/2020,kabla ya kumkaribisha
Rais wa Zanzibar
kuzungumza kjatika hafla hiyo.
WAGENI Waalikwa wakifuatilia
hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Husseinn Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Semina
ya Viongozi Waandamizi na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
ilioandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania katika ukumbi wa Viwanja vya
Marina Hoteli ya
Verde Mtoni Jijini Zanzibar iliofanyika jana usiku 28/11/2020.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment