Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiongea na wasafiri wanaokwenda Burundi
na Uganda wanaosubiri taratibu za uhamiaji katika Kituo cha Kutoa
Huduma kwa Pamoja cha Kabanga
 |
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Balozi Brig. Gen. Wilbert Ibuge akiongea na Afisa Uhamiaji katika Kituo
cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga kwenye Mpaka wa Tanzania na
Burundi.
 |
Kaimu Meneja wa Kituo cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga akisoma taarifa kuhusu utendaji wa Kituo hicho.
 |
Ujumbe
uliongozana na Balozi Ibuge wakisaini Kitabu cha Wageni katika Kituo
cha Kutoa Huduma kwa Pamoja cha Kabanga kwenye Mpaka wa Tanzania na
Burundi.
|
|
|
|
No comments:
Post a Comment