NCHI ZA SADC ZAKABILIWA NA MLOLONGO WA UPITISHAJI SHERIA ZA PAMOJA
Katibu
mkuu wizara ya katiba na sheria Prof. Sifuni Mchome akizungumza na
wanahabari katika katika kikao cha makatibu wakuu wa wizara ya katiba na
sheria kutoka nchi za SADC, Maafisa Waandamizi na Wanasheria
kilichofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar
es Salaam.
No comments:
Post a Comment