Pages

Sunday, August 2, 2020

BODI YA MIKOPO YAHITIMISHA PROGRAMU YA UTOAJI ELIMU KWA WANAFUNZI ELIMU YA JUU AWAMU YA KWANZA MKOANI KIGOMA

Meneja Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Kanda ya Ziwa, Usama Choka (katikati) akizungumza wakati wa kikao na Uongozi wa Shule ya Sekondari Wavulana Kigoma ukiongozwa na Mwalimu Mkuu Dickson Sisso (aliyesimama) muda mfupi kabla ya kuanza kwa utoaji wa elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa mwaka 2020/2021. Mafunzo hayo yalifanyika jana jumamosi (Agosti 1, 2020) Shuleni hapo, Wengine ni Maafisa Mikopo Jonathan Nkwabi na Winfrda Wumbe.
Maafisa wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu kutoka kushoto Jonathan Nkwabi, na Usama Choka wakijadiliana jambo na Viongozi wa sekta ya Elimu Mkoani Kigoma akiwemo Afisa Taaluma Mkoa, Omari Mkombole (kushoto) na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Wavulana Kigoma, Dickson Sisso muda mfupi kabla ya kuanza kwa utoaji wa elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini kwa mwaka 2020/2021. Mafunzo hayo yalifanyika jana jumamosi (Agosti 1, 2020) Shuleni hapo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wavulana Kigoma wakifuatillia kwa makini elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wanajiunga na elimu ya juu kwa mwaka 2020/2021 wakati wa mafunzo hayo yaliyotolewa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Shuleni hapo jana Jumamosi (Agosti 1, 2020).
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wavulana Kigoma wakifuatillia kwa makini elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka 2020/2021 wakati wa mafunzo hayo yaliyotolewa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Shuleni hapo jana Jumamosi (Agosti 1, 2020).
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Wavulana Kigoma wakifuatillia kwa makini elimu ya mafunzo kuhusu mwongozo wa uombaji mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa mwaka 2020/2021 wakati wa mafunzo hayo yaliyotolewa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Shuleni hapo jana Jumamosi
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida Wumbe (kushoto) akimkabidhi Meneja wa Shirika la Posta Tanzania Mkoa wa Kigoma, Philip Mchele (kulia) nakala ya mwongozo wa watoa huduma za mtandao (internet) kwa matumizi ya wanafunzi wanaomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na HESLB hapo jana Jumamosi (Agosti 1, 2020). Wengine pichani ni Maafisa wa TPC wakishuhudia tukio hilo.
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida Wumbe akimkabidhi Meneja wa Shirika la Posta Tanzania Mkoa wa Kigoma, Philip Mchele (kulia) nakala ya mwongozo wa watoa huduma za mtandao (internet) kwa matumizi ya wanafunzi wanaomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2020/2021 katika Ofisi za Makao Makuu ya TPC Mkoa wa Kigoma jana Jumamosi (Agosti 1, 2020). Wengine pichani ni Maafisa wa TPC wakishuhudia tukio hilo.
Afisa Mikopo wa Bodi ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida Wumbe akitoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya mwongozo mwongozo wa watoa huduma za mtandao (internet) kwa matumizi ya wanafunzi wanaomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kwa maafisa wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) Mkoani Kigoma hapo jana Jumamosi
Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida Wumbe akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), Philip Mchele na maafisa wa Shirika hilo muda mfupi maa baada ya kutoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya mwongozo wa watoa huduma za mtandao (internet) kwa matumizi ya wanafunzi wanaoomba inayotolewa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2020/2021 Mkoani Kigoma jana Jumamosi
Afisa Mikopo wa Bodi ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida Wumbe akitoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya mwongozo mwongozo wa watoa huduma za mtandao (internet) kwa matumizi ya wanafunzi wanaomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kwa wafanyakazi wa ofisi ya Trust Internet ya Mkoani Kigoma jana Jumamosi (Agosti 1, 2020). Kulia ni watoa huduma wa kituo hicho Jafary Ngulai na Mbonde Samwel.
  1. Afisa Mikopo wa Bodi ya Wanafunzi ya Elimu ya Juu (HESLB) Winfrida Wumbe akitoa ufafanuzi kuhusu matumizi ya mwongozo mwongozo wa watoa huduma za mtandao (internet) kwa matumizi ya wanafunzi wanaomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2020/2021 kwa wafanyakazi wa ofisi ya Nyika Internet ya Mkoani Kigoma jana Jumamosi (Agosti 1, 2020). Kushoto ni watoa huduma wa kituo hicho Judith Nyika na Neema Hanura.
(PICHA NA BODI YA MIKOPO-HESLB)

No comments:

Post a Comment