Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Eid El
Adh’haa lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es salaam.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Eid El
Adh’haa lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar
es salaam.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika Swala ya Eid El-Adh’haa
iliyofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
salaam, Wa tatu kushoto ni Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally , Sheikh Mkuu
na Mufti wa Tanzania na wa tano kushoto ni Sheikh Alhad Salum, Sheikh
wa Mkoa wa Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika Baraza la Eid El Adh’haa lililofanyika kitaifa
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waumini
wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza katika Swala na Baraza la Eid El Adh’haa kitaifa kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam, Julai 31, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika Baraza la Eid El Adh’haa lililofanyika kitaifa
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waumini
wa Dini ya Kiislamu wakiswali swala ya Eid El Adh’haa kitaifa kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika Baraza la Eid El Adh’haa lililofanyika kitaifa
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Kamanda wa zamani wa Polisi wa
Mkoa wa Dar es salaam, Suleiman Kova katika Swala na Baraza la Eid El
Adh’haa kitaifa lililofanyika kitaifa kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es salaam, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza katika Baraza la Eid El Adh’haa lililofanyika kitaifa
kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment