Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt.
Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco
nchini Mhe. Abdelilah Benryane leo katika Ofisi ndogo za Wizara jijini
Dar es Salaam. Viongozi hao pamoja na mambo mengine wamezungumzia jinsi
ya kuimarisha mahusiano kati ya Tanzania na Morocco.
No comments:
Post a Comment