Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na
viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Shirika la Reli nchiniTRC
kabla ya kuondoka katika stesheni hiyo ya Soga mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo ndani ya
Behewa la Treni ya Uhandisi wakati alipokuwa akielekea Mlandizi mkoani
Pwani ambapo amekagua kazi za ujenzi wa kipande cha Reli ya Kisasa
kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro ambapo ujenzi umefikia asililimia
80.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kufika eneo la Mlandizi mkoani Pwani wakati akikagua kipande cha Reli
kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro ambapo ujenzi wake umefikia
asililimia 80.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa
Mlandizi mkoani Pwani wakati alipotoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa
Reli kutoka Dar es salaam mpaka Morogoro ambapo ujenzi umefikia
asililimia 80.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma mara baada ya
kuhutubia Wananchi wa Kisarawe Mkoani Pwani ambapo alizindua mradi
mkubwa wa Maji-Picha na Ikulu.
Maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa
Reli ya Kisasa Standard Gauge katika kipande cha Dar es Salaam hadi
Morogoro kama uivyoonekana pichani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuka kwenye treni ya
Uhandisi mara baada ya kukagua maendeleo ya mradi wa Reli ya Kisasa wa
Standard Gauge kuanza LOT 1 kipande cha Dar -Moro katika eneo la
Mlandizi mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya
Mkurugenzi Mkuu wa TRC Masanja Kadogosa kuhusu mradi wa Reli ya Kisasa
wa Standard Gauge kuanza LOT 1 kipande cha Dar -Moro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa
Ujenzi Mhandisi Isaack Kamwelwe pamoja na Mtendaji Mkuu wa TRC Masanja
Kadogosa mara baada ya kufanya ukaguzi wa ujenzi wa Reli. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment