Pages

Sunday, May 3, 2020

MAKAMU WA RAIS MHE.SAMIA SULUHU AMEMUWAKILISHA RAIS MHE.DKT.JOHN MAGUFULI KWENYE MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA MAREHEMU BALOZI AUGUSTINE MAHIGA KIJIJINI TOSAMAGANGA MKOANI IRIBGA



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Mchanga  kwenye Kaburi  la  aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwenye Mazishi hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimfariji Dada wa Marehemu  Balozi Dkt. Augustine Mahiga  Bibi Rustica Mahiga Baada ya Mazishi ya hayo  yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwenye Mazishi hayo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga alipomuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiweka Shada la Maua  kwenye Kaburi  la  aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga wakati  wa Mazishi yake yaliyofanyika katika kijiji cha Tosamaganga Mkoani Iringa, Makamu wa Rais alimuwakilisha  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli kwenye Mazishi hayo.

No comments:

Post a Comment