Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha dharura
kuhusu Masuala ya Migodi nchini kulia Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na Muungano Mhe Mussa Azan Zungu kushoto Waziri wa
Madini Mhe Dotto Biteko. Kikao hicho kilifanyika kwenye ukumbi wa
Hazini Mjini Dodoma
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kwa wajumbe
wa kikao cha dharura kinachohusu masuala ya Migodi nchini kilichofanyika
kwenye ukumbi wa Hazina Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment