Waziri wa Maji Mhe Prof.Makame
Mbarawa kushoto kwake akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
wakielekea kukagua tanki la maji .
Waziri wa Maji Mhe.Prof.Makame
Mbarawa akikagua tanki la mradi mkubwa wa maji katika jiji la Arusha
,unaosimamiwa na mamlaka ya majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha
(AUWSA) lenye ujazo wa lita milioni 10,kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa
Arusha Mrisho.
Waziri wa Maji Mhe.Prof.Makame
Mbarawa akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa
Mazingira Vijijini (RUWASA) Mhandisi Christine Kessy Kuhusu utekelezaji
wa mradi wa maji wa vijiji 5 unaofadhiliwa na DFID katika Halmshauri ya
Arumeru.
…………………………………………………………………………………………………….
No comments:
Post a Comment