Bw. Bernrad Dadi Mkurugenzi wa
Mfumo wa Malipo wa Taifa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) akitoa mada kuhusu
Kanzidata ya Kudumu ya Watoa Huduma wa Kifedha Financial Services
Register (FSR) katika semina semina ya waandishi wa habari kutoka
vyombo mbalimbali inayoendelea kwenye tawi la BoT jijini Arusha leo.
Baadhi ya waandishi wa habari
wakifuatilia mada wakati Bw. Bernrad Dadi Mkurugenzi Mfumo wa Malipo wa
Taifa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) akitoa mada kuhusu mfumo wa Kanzidata
ya Kudumu ya Watoa Huduma wa Kifedha Financial Services Register leo.
Vick Msima
Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki akimkaribisha Bw.
Bernrad Dadi Mkurugenzi wa Mfumo wa Malipo wa Taifa Benki Kuu ya
Tanzania (BoT) ili kutoa mada kwa waandishi wa habari kuhusu Kanzidata
ya Kudumu ya Watoa Huduma wa Kifedha.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mjadala katika semina hiyo.
Edina Bondo kutoka gazeti la
Jamvi la habari na Goodluck Msola kutoka Kituo cha Luninga cha ETV
wakisikiliza mada hiyo iipokuwa ikiwasilishwa.
Bw. Bernrad Dadi Mkurugenzi wa
Mfumo wa Malipo wa Taifa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) akipokea baadhi ya
maswali kutoka kwa wanahabari katika semina hiyo.
No comments:
Post a Comment