Pages

Tuesday, March 3, 2020

MHE MGUMBA AWATAKA WANANCHI KUCHANGIA SHUGHULI ZA MAENDELEO MOROGORO



Naibu Waziri Wa Kilimo, Ambaye Pia Ni Mbunge Wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe Omary Tebweta Mgumba,Akiongea Na Viongozi Pamoja Na Wananchi Wa Kijiji Mfumbwe Akiwa Katika Ziara Yake Ya Kukagua Miradi Ya Maendeleo Katika Kata Ya Mkuyuni Halmashari Ya Morogoro Vijijini.
.Wananchi Wa Kijiji Cha Kibwaya Kata Ya Mkuyuni Halmashauri Ya Morogoro Vijijini akimsikiliza Mbunge Wao Wa Morogoro Kusini Mashariki Ambaye Pia Ni Naibu Waziri Wa Kilimo Mhe Omary Tebweta Mgumba(Hayupo Pichani) Wakati Wa Ziara Yake Ya Kukagua
Miradi Ya Maendeleo Katika Kata Hiyo.
Mbunge Wa Jimbo La Morogoro Kusini Mashariki Na Naibu Waziri Wa Kilimo Mhe Omary Tebweta Mgumba Akiambana Na Viongozi Wa Kata Ya Mkuyuni Na Kijiji Cha Mfumbwe Wakati Wa Ziara Yake Ya Kukagua Miradi Ya Maendeleo Katika Kata Ya Mkuyuni
Diwani Wa Viti Maalumu Kata Ya Mkuyuni Mhe Asha Ally Akiongea Na Wananchi Wa Kijiji Cha Mfumbwe Wakati Wa Ziara Ya Mbungu Wa Jimbo La Morogoro Kusini Mashariki Na Naibu Waziri Wa Kilomo Mhe Omary Tebweta Mgumba.
………………………………………………………………………………………………………………….
Na Farida Saidy Morogoro
Jamii Imetakiwa Kuunga Mkono Kwa Vitendo Juhudi Zinazofanywa Na

Serikali Ya Awamu Ya Tano Inayongozwa Na Rais Dkt John Pombe
Magufuli Kwa Kuitunza Na Kuilinda Miradi Ya Maendeleo
Inayotekelezwa Katika Maeneo Yao Na Kutoa Taarifa Kwa Mamlaka
Husika Pale Wanapoona Kunasitofahamu Au Kusuasua Kwa Miradi
Hiyo.
Hayo Yamesemwa Kwa Nyakati Tofauti Na Naibu Waziri Wa Kilimo,
Ambaye Pia Ni Mbunge Wa Morogoro Kusini Mashariki Mhe Omary
Tebweta Mgumba Alipofanya Ziara Katika Kata Ya Mkuyuni Jana
March 2, 2020,Kwa Lengo La Kukagua Miradi Ya Maendeleo
Inayotekelezwa Katika Kata Hiyo Na Kuzungumza Na Wananchi.
Mhe Mgumba Amesema Serikali Inafanya Kazi Kumbwa Sana
Kutekeleza ,Miradi Ya Maendeleo Katika Jimbo La Morogoro Kusini
Mashariki Na Tanzania Kwa Ujumla Hivyo Amewataka Wananchi
Kuitunza Na Kuilinda Kwani Miradi Hiyo Ni Ya Wananchi Na Sio Ya
Mbunge Wala Rais.
Hata Hivyo Aliwata Wananchi Kuendelea Kujitolea Katika Kuchangia
Mradi Mbalimbli Ikiwemo Ya Miundombinu Ya Barabara Pamoja Na
Ile Ya Elimu Ili Kusaidia Kukuza Uchumi Wao Na Taifa Kwa
Ujumla.
“Kwani Madalasa Yale Yakijengwa Atakuja Kusoma Mtoto Wa
Magufuri Au Mgumba?,Si Watasoma Watoto Wa Kibwaya? Au
Nadanganya Ndugu Zangu?” Aliuza Mgumba.
Awali Wakitoa Kelo Kwa Mhe Mbunge Na Naibu Waziri Wa Kilimo,
Wananchi Wa Kijiji Cha Kibwaya Wamemuomba Mhe Mgumba
Kufuatalia Sitofahamu Iliyoko Katika Maradi Wa Maji Wa Mseleleko
Wenye Thamani Ya Mia Sita Na Kumi Millioni Laki Saba Na Mia Tisa
Ambao Unatekelezwa Katika Kijiji Hicho,Huku Ukijengwa Chini Ya
Kiwango Hali Inayosababisha Mabomba Kupasuka Na Tank Kuwa Na
Nyufa.
Katika Hatua Nyingine Mhe Mgumba Akiwa Katika Kijiji Cha
Mfumbwe Ameuagiza Ungozi Wa Kijiji Hicho Kubomoa Na Kujenga
Upya Madalasa Yaliokuwa Chakavu Katika Shule Ya Msingi
Mfumbwe Ambayo Inauhaba Wa Vyumba Vya Madalasa Na Kusema
Kuwa Atashirikiana Na Serikali Ya Kijiji Kuhakisaha Watoto
Hawasomi Chini Ya Miti,Sambamba Na Kuishukuru Bank Ya Nmb
Kwa Kutoa Mabati Mia Moja (100) Katika Shule
Katika Ziara Hiyo Ya Siku Moja Mhe Mgumba Amepata Nafasi Ya
Kutembelea Na Kujionea Miradi Mbalimbali Ya Mendeleo
Inayotekelezwa Katika Kata Hiyo Ikiwemo Ya Elimu,Afya Na Maji,
Pamoja Na Kuongea Na Wananchi Wa Vijiji Vya
Mfumbwe,Kibwaya,Na Kivumi Ambapo Shughuri Yao Kumbwa Ya
Kiuchumi Ni Kilimo.

No comments:

Post a Comment