Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimsaidia kubeba ndoo ya maji, Mariam Mgaza Hassan wakati alipozindua
mradi wa maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akijaza maji katika ndoo wakati alipozindua mradi wa Maji wa Bokwa
wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Maji,
Jumaa Aweso, wa tatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela na
kulia ni mmoja wa wanufaika wa mradi huo, Mariam Mgaza Hassan. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizindua mradi wa Maji wa Bokwa wilayani Kilindi, Machi 4, 2020. Kulia
ni Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na kushoto ni Mbunge wa Kilindi,
Omar Kigua. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment