Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT-AMIS, Daudi
Mbaga zkizungumza na waandishi wa habari.
Mbaga zkizungumza na waandishi wa habari.
************************
Na Mwandishi Wetu
MAENDELEO yanakuja na mambo mengi mazuri, awali ili
uweze kuwasiliana na ndugu zako walioko Mkoa mwingine
ilikuwa lazima usafiri, uandike barua, kusafiri umbali mrefu kwenda kuituma kwenye sanduku la Posta.
Barua hiyo inaweza kusafirishwa kwa wiki mbili ndipo ifike
inapokwenda na hadi ijibiwe, miezi kadhaa inakuwa imepita.
inapokwenda na hadi ijibiwe, miezi kadhaa inakuwa imepita.
Taarifa kama za misiba kwa watu walio mbali wahusika
walikuwa wakizipata baada ya mazishi, redio ilikuwa moja tu ambayo ni Redio Tanzania, huu ni mfano tu.
walikuwa wakizipata baada ya mazishi, redio ilikuwa moja tu ambayo ni Redio Tanzania, huu ni mfano tu.
Taasisi za fedha zilikuwa chache sana, benki ilibidi ujaze
karatasi nyingi, faili lako litafutwe uli kutambua sura, saini yako na foleni zilikuwa ndefu sana.
karatasi nyingi, faili lako litafutwe uli kutambua sura, saini yako na foleni zilikuwa ndefu sana.
Kwenda benki ilikuwa ni shughuli ambayo lazima uitengee
muda tena wa kutosha. Kwa kifupi tekinolojia kwenye nyanja
nyingi ilikuwa duni sana.
muda tena wa kutosha. Kwa kifupi tekinolojia kwenye nyanja
nyingi ilikuwa duni sana.
Mabadiliko ya teknologia, ukuwaji wa uchumi ukihuishwa na elimu pana yameleta mapinduzi makubwa katika jinsi ambazo tunaweka pesa zetu.
Leo si lazima uende benki kuchukuwa au kuweka pesa zako, kwa njia ya simu au kadi unaweza kuchukuwa pesa zako bila kuongea na mtu, yaani mashine tu, kutumia alama mbalimbali kama vidole, nywila, mashine inakupa hela.
Huhitaji kuzungumza na muhudumu au Meneja wa benki,
unaweza kufanya muamala ukiwa mjini, kijijini, popote duniani.
unaweza kufanya muamala ukiwa mjini, kijijini, popote duniani.
Katika nyanja ya uwekezaji unaweza kuweka akiba kwa simu yako, ukaitumia kama daraja la kukuwezesha kuwekeza.
Mfano ukachukuwa pesa na kuiweka katika akaunti yako ya akiba benki au ukachukuwa pesa ukawekeza kwenye akaunti yako ya uwekezaji ya UTT AMIS.
Kwa simu unaweza ukakata bima yako ya afya, kununua
pikipiki kwa simu hiyo hiyo, makusanyo ya kila siku nayo
unaweza kuyaweka kwenye simu. Kwa kifupi kukua kwa
tekinolojia kuna rahisisha maisha.
pikipiki kwa simu hiyo hiyo, makusanyo ya kila siku nayo
unaweza kuyaweka kwenye simu. Kwa kifupi kukua kwa
tekinolojia kuna rahisisha maisha.
Urahisi huu una faida na hasara zake. Faida ni kuokoa muda, uharaka wa miamala, usalama wa miamala, kuongeza mzunguko wa fedha kwenye uchumi jambo ambalo ni la kheri.
Hasara zipo pia kama gharama zaidi, kupata ujumbe kutoka kwa matapeli, kupoza simu na kama nywila yako ikaangukia kwenye mikono mibaya.
Baada ya kuunganisha simu yako na akaunti yako ya benki,
tayari utakuwa unaweza kufanya miamala. Kuna tofauti kubwa sana pale unapokuwa umeishika noti/pesa mkononi na kuihesabu ili kufanya malipo fulani.
tayari utakuwa unaweza kufanya miamala. Kuna tofauti kubwa sana pale unapokuwa umeishika noti/pesa mkononi na kuihesabu ili kufanya malipo fulani.
Kwanza ukiishika unaihisi kuna mgusano kati ya mwili wako na hela halisi, unapolipa inatoka mkononi mwako na unaiona pesa ikipokelewa upande unapolipia bidhaa au huduma fulani.
Wakati wa kulipa unahesabu, ukilipa ndoa yako na pesa hiyo imekwisha na roho inakuuma, inaweza kukufanya ujiulize mara nyingi kama kuna ulazima wa kuvunja ndoa hiyo ukijiuliza mbona nalipa sana na maswali mengine mengi.
Kama unatumia simu kulipa au kadi, tunasema kama huna
chanja pesa huioni, uhusiano wako na hiyo hela unakuwa kama uko mbali sana. Unakuwa si wa moja kwa moja.
chanja pesa huioni, uhusiano wako na hiyo hela unakuwa kama uko mbali sana. Unakuwa si wa moja kwa moja.
Wakati mwingine haikupi uchungu kwa sababu hakuna
mgusano, huioni, inakatwa huko kwa huko, pengine hadi
uchukuwe taarifa yako ya pesa kutoka benki.
mgusano, huioni, inakatwa huko kwa huko, pengine hadi
uchukuwe taarifa yako ya pesa kutoka benki.
Pia taarifa hiyo unaweza kuichukua kwenye kampuni ya simu ndipo unastuka kama ulifanya miamala ya gharama kubwa sana, kama hukuwa makini roho inakuuma, macho yanakutoka.
Kukosekana kwa msuguano kati ya mkono wako na pesa
kumekufanya usijisikie kama hujatumia pesa kumbe umetumia tena sana tu.
kumekufanya usijisikie kama hujatumia pesa kumbe umetumia tena sana tu.
Swali kubwa la kujiuliza ni wapi nilipe kwa pesa halisia na wapi nilipe kwa kutumia simu au kadi za benki na hii itanisaidia vipi kutunza pesa zangu kwa jili ya kuwekeza? Ukweli ni kwamba, ukitembea na pesa unaweza kuzipoteza, pochi inaweza kuibwa, kupotea, kadi na simu pia zinaweza kupotea lakini mtu akiokota lazima awe na nywila (password), utakuwa umepoteza simu au kadi ila si pesa.
Kama unataka kuwa mwekezaji lazima ujipema kama kwa
kutumia simu au kadi za malipo huikupelekei kuwa na
kiherehere cha kutumia pesa hovyo.
kutumia simu au kadi za malipo huikupelekei kuwa na
kiherehere cha kutumia pesa hovyo.
Unalo jukumu la kuhakikisha matumizi yako yanakwenda
sambamba na bajeti yako. Katika tafiti za matumizi kwa njia ya simu au kadi inasemekana watu hutumia asilimia 23 zaidi ikilinganishwa na kama ingekuwa wanalipa kwa pesa moja kwa moja.
sambamba na bajeti yako. Katika tafiti za matumizi kwa njia ya simu au kadi inasemekana watu hutumia asilimia 23 zaidi ikilinganishwa na kama ingekuwa wanalipa kwa pesa moja kwa moja.
Hii tukiweka kwa tarakimu kwa kila sh. 100,000 kuna sh.
23,000 ambazo ungeziokoa. Ina maana kwa kila sh. milioni
moja ungeokoa sh. 230,000 kwa mwezi.
23,000 ambazo ungeziokoa. Ina maana kwa kila sh. milioni
moja ungeokoa sh. 230,000 kwa mwezi.
Ingekuwa ni mwaka inakuwa sh. 2,760,000 kwa miaka 10
matumizi ambayo si ya muhimu yanaweza kuwa zaidi ya sh. 27,600,000.
matumizi ambayo si ya muhimu yanaweza kuwa zaidi ya sh. 27,600,000.
Kwa mtu makini na mwenye kujua kuwekeza angewekeza hizo sh. 230,000 kwa mwezi ambazo amekuwa akizitumia vibaya kwa riba ya asilimia 12 kwa miaka 10 angeweza kupata sh. 52,908,898.98.
Uwekezaji wa namna hii unawezekana kupitia Mifuko ya
Uwekezaji wa Pamoja ya UTT AMIS, kwa mfano huu ina
maana miaka 10 umepoteza sh. 27,600,000.
Uwekezaji wa Pamoja ya UTT AMIS, kwa mfano huu ina
maana miaka 10 umepoteza sh. 27,600,000.
Kama ungeiwekeza kupitia Mifuko ya UTT AMIS ingekupa sh. 52,908,898.98. Tafiti zinaonyesha kuna watu hutumia asilimia 30 kwa kutokuwa makini na teknolojia za kisasa.
Kumbuka kuwa, kadri kipatao chako kinavyokuwa ndivyo kiasi unachopoteza kinazidi kuwa kikubwa. Kulipa kwa njia za simu au kadi si vibaya maana hazina ubaya wowote.
Unachotakiwa kukumbuka ni kila unapotumia kadi au simu ni kama umelipa pesa kwa mkono wako kutoka mfukoni kwako hivyo lazima njia hiyo ya malipo uiweke kwenye maana halisi ya malipo.
Lazima utafsiri uchungu au furaha ambayo ungepata kwa kulipa ‘cash’. Uwekezaji wa Pamoja kupitia UTT AMIS ni daraja zuri sana la kuwekeza kwani ni rahisi, unapata nafasi ya kuwekeza pesa ndogo ndogo ambazo pengine ungezitumia vibaya.
Watu wengi wanachanga pesa zao katika mfuko mmoja na
kumpa Meneja (UTT AMIS) ambaye anaziwekeza pesa hizo
kwa kuzingatia waraka wa makubaliono.
kumpa Meneja (UTT AMIS) ambaye anaziwekeza pesa hizo
kwa kuzingatia waraka wa makubaliono.
Meneja huyo anaziwekeza kwa ufanisi huku akizingatia
usalama, uwazi, taratibu zote kwa malengo ya kuzipa pesa hizo thamani zaidi.
usalama, uwazi, taratibu zote kwa malengo ya kuzipa pesa hizo thamani zaidi.
Jambo zuri kuhusu Uwekeza wa Pamoja ni huhitaji kuwa na pesa nyingi ili uwe mwekezaji, anzia sh. 10,000 tu unaweza kuwa mwekezaji.
Hiyo sh. 10,000 inaweza kuwa ile ambayo ungeiteketeza kwa kutumia vibaya au uliyojilipa kwanza yaani ile ambayo ulitenga baada ya kupata kipato fulani ukaitenga kwa ajili ya maisha ya baadae na kuiwekeza na ukafanya hivyo mara kwa mara.
Uzuri ni kwamba, unaweza kuwekeza kwa simu au kwenda
Benki ya CRDB, kuweka pesa zako kwenye akaunti yako ya
UTT AMIS.
Benki ya CRDB, kuweka pesa zako kwenye akaunti yako ya
UTT AMIS.
Ili kuwa mwekezaji lazima ujisome, ujuwe mambo ambayo
yanakuchochea kutumia pesa. Mara nyingi matumizi
yanaendana na tabia, watu na jamaa waliotuzunguka, mtazamo au mwili kujisikia tama.
yanakuchochea kutumia pesa. Mara nyingi matumizi
yanaendana na tabia, watu na jamaa waliotuzunguka, mtazamo au mwili kujisikia tama.
Kikubwa ni kuangalia pesa unayoweza kutenga kutoka kwenye kipato chako, unayoweza kupata bila kutegemea na kuepuka mambo yanayokufanya utumie pesa vibaya.
Ili pesa hizo uweze kuzipa thamani zaidi unapaswa kuwekeza sehemu zenye tija kama UTT AMIS.
Kama kuna mazingira ambayo yanakufanya utumie zaidi
yaepuke. Kwa mfano, ukiwa baa kama baada ya bia moja au mbili unaanza kununua hovyo hovyo na malengo yako ni bia mbili basi kunywa nyumbani.
yaepuke. Kwa mfano, ukiwa baa kama baada ya bia moja au mbili unaanza kununua hovyo hovyo na malengo yako ni bia mbili basi kunywa nyumbani.
Pia kama starehe yako ni kuwa baa basi chukuwa pesa ya bia mbili tu. Hii itakusaidia kuokoa pesa kwa ajili ya mambo muhimu kama kuwekeza kwa ajili muda wa kustaafu.
Wengine wakiwa na hasira wana kwenda kulewa, badala ya kwenda kulewa, vaa raba tembea kilomita mbili hadi tatu, msongo wa hasira utapungua nab ado utakuwa umeokoa pesa.
Je, ukiwa na bibi au bwana yako unatumia zaidi? Pia ukiwa na marafiki fulani matumizi yako yanongezeka? Marafiki wazuri wanaweza kuwa wabaya hasa kama ni vinara wa matumizi.
Badala ya kukutana nao sehemu za gharama, kutana nao kwenye baa au migahawa ya bei ndogo. Kumbuka soda aina ya Cocacola bei yake hutofautiana kati ya hoteli na hoteli, dukani ni sh. 500 hdi 600 lakini kwenye hoteli kubwa ni sh. 2,500.
Je, una staili gani ya maisha? Tumia kulingana na mfuko wako, ukiona matumizi yako yanazidi kile kilichopo mfukoni mwako tambua hutaweza kuwa mwekezaji.
Kuna watu wanapenda maisha ya juu sana. Unachukuwa mkopo wa sh. milioni 20 unaenda kununua gari yote ili ili uonekane? Mwekezaji atanunua pikipiki au gari isiyozidi sh. milioni 10, kiasi kinachobaki atawekeza, badilika, acha sifa Ili usitoke nje ya bajeti, hakikisha unafuatilia matumizi yako ikibidi andika matumizi.
Hii itakusaidia kufahamu kila shilingi umeitumia vipi na kuweza kufanya tathimini wapi ungetumia vizui zaidi, wapi umekosea.
Pia itakusaidia kujuwa pesa zako nyingi zinakwenda kwenye matumizi gani zaidi. Ukiweza kuepusha sh. 3,000 kwa siku inakuwa sh. 90,000 kwa mwezi.
Hizo ni pesa nyingi sana kwa mwaka na kwenye uwekezaji wa pamoja katika miaka ya baadae. Pendelea kulipa keshi badala ya kadi kama Makala hii ilivyoainisha hapo mwazo.
Mambo mengine ya kufanya ni kama kupanga malengo ya muda mfupi, unarekebisha malengo kabla unavyoyamudu.
Usiweke malengo yaliyo nje ya uwezo wako. Jifunze jinsi ya kubajeti, ndiyo njia ya kukupeleka kwenye uhuru wa pesa.
Usiweke malengo yaliyo nje ya uwezo wako. Jifunze jinsi ya kubajeti, ndiyo njia ya kukupeleka kwenye uhuru wa pesa.
Kumbuka kwenye kutumia kuna vitu muhimu, kuna dharura na kuna vitu unavipenda. Mapenzi yasizidi vitu, maswala muhimu, jambo muhimu ni kuwekeza kwa ajili ya kesho yako, kurahisisha maisha zaidi.
Si rahisi kutokuwa na madeni, weka mpango wa kulipa madeni yako. Kumbuka madeni yenye riba ni hatari sana kwani muda unavyokuwa mrefu ndivyo mzigo unakuwa zaidi.
Mikopo inatakiwa iwe kwa ajili ya kufanya maisha yawe bora na si kuyafanya yawe magumu au mzigo usiobebeka.
Kwa ujumla kuna faida nyingi sana kiuchumi kwa kutumia simu kama chombo cha kufanya miamala, utalipia mahitaji yako sokoni, dukani hata hosipitalini.
Utalipia bili za maji, umeme, kodo za nyumba, viwanja, bima na mambo kadha wa kadha. Kulipa kwa simu ni rahisi na haraka, pia ni salama kwa kiwango kikubwa sana. Ukiwa na simu si lazima uwe na akaunti ya benki, simu yako inaweza kuwa sehemu ya kuhifadhi pesa zako.
Makala hii inajaribu kukupa jicho la ziada, tujaribu kuangalia faida na hasara zake ukilenga dhana nzima ya uwekezaji wa Pamoja.
No comments:
Post a Comment