Picha ya pamoja kutoka kushoto ni
Mkuu wa Mauzo SBL Singida, Godwin Urassa , RTO Singida, Edson
Mwakihaba, Meneja Uhusiano na Serikali wa SBL, Neema Temba, na Mkaguzi
wa Magari mkoa Singida, Hassan Hamis Hassan mara baada ya uzinduzi wa kampeni ya SBL ‘Usinywe na kuendesha chombo cha moto’ iliyofanyika leo stendi ya mabasi mjini Singida.
Picha ya pamoja kutoka
kushoto Anorld Kisukuli Mkurugenzi wa kanda ya kati Dodoma wa chama cha
kutetea Abiria Tanzania, RTO mkoa wa Singida Edson Mwakihaba na Neema
Temba
Mkuu wa Kikosi cha
Usalama Barabarani (RTO) Singida, Edson Mwakihaba akigawa makoti ya
usalama barabarani kwa madereva wa boda boda mjini Singida kwenye
kampeni ya ‘Usinywe na kuendesha (Don’t Drink and Drive) kutoka kampuni
ya Serengeti Breweries SBL leo
RTO Mkoa wa Singida
Edson Mwakihaba , Meneja Uhusiano na Serikali wa SBL, Neema Temba
wakiwa na madereva wa Bodaboda mkoa wa Singida katika mafunzo ya
‘Usinywe na kuendesha (Don’t Drink and Drive) kutoka kampuni ya
Serengeti Breweries SBL leo
Mkuu wa Kikosi
cha Usalama Barabarani (RTO) Singida, Edson Mwakihaba (kushoto)
na Meneja Uhusiano na Serikali wa SBL, Neema Temba (kulia) wakikabidhi
makoti ya usalama barabarani kwa Mwenyekiti wa bodaboda Singida Mjini,
Abdul Misigo kwenye hafla ya kampeni ya SBL ‘Usinywe na kuendesha chombo cha moto’ iliyofanyika leo stendi ya mabasi mjini Singida.
No comments:
Post a Comment