RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akihakiki Taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar,
na Afisa wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Ndg. Salum Abdulrahaman Nadhif,
alipofika Kituo Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya
ya Kati Unguja leo 29-2-2020, (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar
Mama Mwanamwema Shein..(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais
wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akihakiki Taarifa zake katika Daftari
la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar, alipofika kuhakiki taarifa zake
katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya
ya Kati Unguja leo, akifanyika uhakiki na Afisa wa (ZEC) Bi. Mwashamba
Rashid Abuu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akitoka katika Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi
Bungi Wilaya ya Kati Unguja baada ya kuhakiki taarifa zake katika
Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akiwasili katika Kituo cha Kujiandikisha Wupiga Kura Skuli ya Msingi
Bungi Wilaya ya Kati Unguja kwa kuhakiki taarifa zake katika Daftari la
Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini
Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud. Hafla hiyo imefanyika leo
29-2-2020.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akiwa katika foleni akisubiri zamu yake katika zoezi la Uhakiki wa
taariza zake katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar, katika
Kituo cha Kujiandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati
Unguja leo, 29-2-2020, (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
Zanzibar (ZEC) Mhe Jaji.Hamid Mahmoud na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi
Zanzibar (ZEC) Ndg Thabit Idarous Faina.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vilioko
Zanzibar, baada ya kuhakiki taarifa zake katika Daftari la Kudumu la
Wapiga Kura Zanzibar, katika Kituo cha kujiandisha Wapiga Kura Skuli ya
Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja leo,29-2-2020, (kulia kwa Rais )
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC) Mhe. Jaji. Hamid Mahmoud na
(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja. Mhe. Ayoub Mohammed
Mahmoud.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akiwa katika Kituo cha Kuandikisha Wapiga Kura Skuli ya Msingi
Bungi Wilaya ya Kati Unguja , akisuburi Kitambulisho chake cha mpiga
kura baada ya kuhakikiwa na Mkuu wa Kituo cha Kijiandikisha Wapiga Kura
Skuli ya Msingi Bungi Wilaya ya Kati Unguja.Bi.Salma Abdulla
Mussa.(Picha na Ikulu).29-2-2020.
No comments:
Post a Comment