RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akiweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar (kushoto
kwa Rais) Mfadhili Mkuu wa Ujenzi wa Skuli hiyo kwa kushirikiana na
Serikali katika kukamilisha ujenzi huo Mhe. Ahmada Yahya Abdulwakil na(
kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki
Pembe Juma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Skuli ya Biashara Mombasa
Zanzibar, ikiwa ni Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar. (kushoto kwa Rais) Mfadhili Mkuu wa Ujenzi wa Skuli hiyo kwa
kushirikiana na Serikali katika kukamilisha ujenzi huo Mhe. Ahmada Yahya
Abdulwakil na( kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akitembelea Jengo jipya la
Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar, baada ya kuifungua ikiwa ni
shamrashamra za Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar, akiwa katika na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akitembelea
Jengo jipya la Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar, baada ya kuifungua
ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi
ya Zanzibar, akiwa katika na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede
Shein, akiwa katika moja ya darasa la Skuli ya Biashara Mombasa
Zanzibar, baada ya kuifungua Skuli hiyo, ikiwa ni shamrashamra za
kuadhimisha sherehe za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa
Rais) Mfadhili Mkuu wa ujenzi huo na Mwakilishi wa kuteuliwa Mhe.Ahmada
Yahya Abdulwakil na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.
Riziki Pembe Juma na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Amali Zanzibar.Dkt. Idrisa Muslim Hijja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akiangalia moja ya meza katika darasa la Skuli ya Biashara Mombasa
Zanzibar (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa
Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Riziki Pembe Juma akizungumza
katika hafla ya Ufunguzi wa jengo jipya la Skuli ya Biashara Mombasa
Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein
akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengo jipya la Skuli ya
Biashara Mombasa Zanzibar la ghorofa mbili ikiwa ni shamrashamra za
kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika
katika viwanja vya Skuli hiyo Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya
Walimu wa Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya
ufunguzi wa jengo jipya la Skuli ya Biashara Mombasa Zanzibar, wakati
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani)(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa
Skuli Biashara Mombasa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia
wakati wa hafla ya Ufunguzi wa jengo jipya la Skuli ya Biashara Mombasa
Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment