Pages

Wednesday, January 1, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AHITIMISHA ZIARA YAKE KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA KISIWA CHA RUBONDO




Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa amefanikiwa kuvua samaki aina ya Sangara Ziwa Victoria wakati wa ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisindikiwa na Kamishna wa Uhifadhi wa TANAPA Dkt. Allan Kijazi baada ya kuhitimisha  ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwana samaki aina ya Sangara waliowavua Ziwa Victoria walipofanya  ziara ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa Cha Rubondo wilayani Chato mkoa wa Geita leo Desemba 31, 2019

No comments:

Post a Comment