Pages

Tuesday, December 24, 2019

PROF. KABUDI AKUTANA, KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UTURUKI



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiongea na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Balozi Ali Davutaglu wakati walipokutana kwa mazungumzo katika ofisi ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akifafanua jambo kwa Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Balozi Ali Davutaglu wakati walipokutana kwa mazungumzo katika ofisi ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Balozi Ali Davutaglu akimueleza jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.Palamagamba John Kabudi (Mb) wakati walipokutana kwa mazungumzo katika
ofisi ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment