Waziri wa Nchi katika ofisi ya
Waziri Mkuu anayeshughulikia, Bunge, Sera, Kazi, Ajira, Vijana na watu
wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (MB) akiongea kuhusu Utekelezaji wa
Mradi wa Ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Karanga, kulia ni
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Andrew Massawe na kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF bw. Hosea Kashimba
Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Bw. Hosea Kashimba akifafanua jambo wakati wa kikao hicho
Waziri wa Nchi katika ofisi ya
Waziri Mkuu anayeshughulikia, Bunge, Sera, Kazi, Ajira, Vijana na watu
wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (MB) akisikiliza maelezo kutoka kwa
Maneja wa Kiwanda hicho Bw. Masoud Omari

wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (MB) akiuliza swali kwa Maneja wa
Kiwanda cha karanga Bw. Masoud Omari.
Waziri wa Nchi katika ofisi ya
Waziri Mkuu anayeshughulikia, Bunge, Sera, Kazi, Ajira, Vijana na watu
wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (MB) akizungumza kuhusu utekelezaji
wa Mradi wa Ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Karanga.
Waziri wa Nchi katika ofisi ya
Waziri Mkuu anayeshughulikia, Bunge, Sera, Kazi, Ajira, Vijana na watu
wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (MB) akipata maelezo kuhusu
utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za ngozi cha
Karanga.
Waziri wa Nchi katika ofisi ya
Waziri Mkuu anayeshughulikia, Bunge, Sera, Kazi, Ajira, Vijana na watu
wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (MB) akitoa maelekezo kuhusu
utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa kiwanda cha bidhaa za ngozi cha
Karanga.
Waziri wa Nchi katika ofisi ya
Waziri Mkuu anayeshughulikia, Bunge, Sera, Kazi, Ajira, Vijana na watu
wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (MB) akimsikiliza Meneja wa Miradi
kutoka PSSSF bw. Marco Kapinga wakati akitoa ufafanuzi
Waziri wa Nchi katika ofisi ya
Waziri Mkuu anayeshughulikia, Bunge, Sera, Kazi, Ajira, Vijana na watu
wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (MB) akipata ufafanuzi

wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (MB) akisalimiana na Uongozi wa
Kiwanda cha Karanga pamoja na uongozi wa PSSSF alipowasili kiwandani
No comments:
Post a Comment