Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb)
akiwaelezea waandishi wa habari maandalizi ya mkutano wa 18 wa Mawaziri
wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic unaotarajiwa kufanyika
tarehe 7 – 8 Novemba 2019 jijini Dar es Salaam
Baadhi ya mabalozi kutoka nchi za
Afrika na Nordic wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Hayupo pichani) wakati
alipokutana nao kuzungumzia maandalizi ya mkutano wa 18 wa mawaziri wa
Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic utakaofanyika jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb)
akizungumza alipokutana na waandishi wa habari kuwaelezea Maandalizi ya
mkutano wa 18 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Nordic
unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 – 8 Novemba 2019 jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki, Dkt. Faraji Mnyepe, kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi
Ramadhani Mwinyi.
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb)
katika kikao cha pamoja na mabalozi kutoka nchi za Afrika na Nordic
wakizungumzia maandalizi ya mkutano wa 18 wa mawaziri wa Mambo ya Nje wa
nchi za Afrika na Nordic utakaofanyika tarehe 7 – 8 Novemba 2019 jijini
Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment