Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikabidhiwa Tablets na Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai wakati la
ugawaji wa tablets kwa Wabunge wote, katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni
Jijini Dodoma, Novemba 4, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Salma Kikwete, Bungeni Jijini
Dodoma, Novemba 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na baadhi ya Wabunge, wakati akiingia Bungeni Jijini
Dodoma, Novemba 5, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment