Pages

Tuesday, October 1, 2019

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI (NEC) PAMOJA NA MKUU WA ITIFAKI (CHIEF OF PROTOCAL) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM



Kanali Wilbert Augustine Ibuge akila Kiapo cha kuwa Balozi
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC), katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan pamoja na Mkurugenzi wa Tume ya
Uchaguzi (NEC) Dkt. Wilson Mahera Charles wa kwanza kushoto na Mkuu
wa Itifaki (Chief of Protocol wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Balozi Wilbert Augustine Ibuge. Wengine katika picha ni
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe, Katibu
Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu
(Uwekezaji) Angellah Kairuki pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC ) Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment