Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akifuatilia kwa makini maonesho
ya mavazi wakati wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.
Naibu Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akionesha vazi alilobuniwa
na mbunifu wa mavazi wakati wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya
ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam.
Baadhi ya wananchi waliohudhuria
maonesho ya mavazi wakati wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya
Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam.
Mbunifu mkongwe wa mavazi hapa
nchini Tanzania, Mustapha Hassanali akizungumza wakati wa maonesho ya
mavazi katika Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya
Maandalizi ya Tamasha la JAMAFEST nchini Tanzania, Joyce Fissoo
akizungumza wakati wa maonesho ya mavazi katika Tamasha la Utamaduni wa
Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika uwanja
wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa maonesho
ya mavazi wakipita jukwaani wakati wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akifuatilia ratiba
kwa makini ya maonesho ya mavazi wakati wa Tamasha la Utamaduni wa Nchi
za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa taji la Dunia kwa
warembo wasiosikia, Winfrida Brayson akipita jukwaani wakati wa maonesho
ya mavazi katika Tamasha la Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.
Mshindi wa taji la Dunia kwa
warembo wasiosikia, Winfrida Brayson (kushoto) akiwa katika picha ya
pamoja na Miss Tanzania, Sylivia Sebastian (katikati) na Miss Rwanda
wakati wa maonesho ya mavazi katika Tamasha la Utamaduni wa Nchi za
Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana katika uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam.
Mrembo kutoka nchini Rwanda
akicheza kwa mbwembwe wakati wa maonesho ya mavazi katika Tamasha la
Utamaduni wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) hapo jana
katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment