Waziri wa Habari, Utalii, Mambo ya
Kale wa Zanzibar, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na
Maofisa wa Benki ya NMB alipotembelea banda la benki hiyo kwenye
Maonesho ya pili ya ‘Zanzibar Tourism Show’ Visiwani Zanzibar.
Maofisa wa Benki ya NMB wakifurahi
pamoja na Waziri wa Habari, Utalii, Mambo ya Kale wa Zanzibar,
Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo baada ya kukabidhiwa cheti cha shukrani
kwa udhamini wao.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya
Dar es Salaam, Badru Idd (mwenye miwani) akisalimiana na Makamu wa Pili
wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd wakati wa uzinduzi rasmi wa
Maonesho ya pili ya ‘Zanzibar Tourism Show’ Visiwania Zanzibar.
No comments:
Post a Comment