Balozi
wa Tanzania nchini Kenya, Dk Pindi Chana leo August 2 amemkabidhi Rais
Uhuru Kenyatta zawadi ya Tausi 4 aliyopewa na Rais Magufuli
alipomtembelea Chato.
Akipokea Tausi hao Kenyatta amesema hiyo ni ishara tosha ya umoja, upendo na undugu uliopo kati ya Kenya na Tanzania.
No comments:
Post a Comment