Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda, akiwahutubia wafanyakazi katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam leo.
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda (wa
pili kushoto), akiwa pamoja na Wakuu wa Wilaya (kulia) na viongozi wa
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), wakiimba wimbo wa
mshikamano, katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei
Mosi), Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi
wa Shirika la Posta Tanzania wakisakata rumba katika gari lao la
matangazo kabla ya kuingia katika viwanja vya uhuru kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi
wa Shirika la Posta wakiwa nje ya uwanja wa Uhuru tayari kuingia
uwanjani kwa maandamano katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi
Duniani.
Wafanyakazi wa Shirika la Posta wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi, ndani ya Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Shirika la Posta wakiwa wenye furaha huku wamebeba bango lenye ujumbe maalum wakipita mbele ya mgeni rasmi,Jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi wa Shirika la Posta wakiwa wenye furaha huku wamebeba bango lenye ujumbe maalum wakipita mbele ya mgeni rasmi,Jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakipita mbele ya mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, na bango lao lenye ujumbe maalum.
Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakimpungia mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wakati wakipita na bango lao.
Wafanyakazi
wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakiwa na furaha huku wamebeba
miavuli yao, wakipita kwa maandamano mbele ya mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa,
Paul Makonda.
Wafanyakazi
wa Shirika la Posta Tanzania (TPC), wakifurahi wakiwa kwenye jukwaa
kumsikiliza mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda.
Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania wakipita na Pikipiki zao za kutolea huduma mbalimbali za Shirika mbele ya mgeni Rasmi.
Magari
ya kusafirisha vifurushi na kutoa huduma zingine za Shirika la Posta
Tanzania yakipita kwa msafara mbele ya mgeni katika viwanja vya Uhuru,
jijini Dar es Salaam.
Meneja Rasilimali watu, Miriam Mbaga kwa niaba ya Postamasta Mkuu, akimkabidhi
cheti mfanyakazi hodari kitaifa wa Shirika la Posta, Madaraka Simba
(kulia), katika maadhimisho ya Mei Dei, mkoani Mbeya.
Meneja
Rasilimali watu, Miriam Mbaga kwa niaba ya Postamasta Mkuu, akimkabidhi
cheti mfanyakazi hodari wa Mkoa wa Mbeya, Godwin Davis (kulia), katika
maadhimisho ya Mei Dei, mkoani humo.
Mwenyekiti (TEWUTA) Makao Makuu Shirika la Posta, Aneth Mdamu, katika hafla fupi ya kumpongeza mfanyakazi bora kitaifa wa Shirika la Posta, Madaraka Simba.
Meneja
wa Shirika la Posta mkoani Mbeya, Abdon Mahimbo (katikati mwenye koti),
akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi walioshiriki sherehe za Mei
Dei, jijini humo.
No comments:
Post a Comment