Pages

Wednesday, May 29, 2019

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA UONGOZI WA BUNGE LA VIJANA OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job ndugai (Mwenye joho) akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Bunge la Vijana 2018/2019 ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Walioongozwa na Spika wa Bunge hilo, Ndg. Zephania Sane (wa nne kulia)
 Spika wa Bunge, Mhe. Job ndugai (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Vijana 2018/2019, Ndg. Zephania Sane pale uongozi wa Bunge hilo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Spika wa Bunge hilo, Ndg. Ashiruna Muhunzi  na katibu wa Bunge, Ndg. Alphonsina Ambrosi
Spika wa Bunge, Mhe. Job ndugai (kushoto) akikabidhiwa ripoti ya Bunge la Vijana 2018/2019 na Spika wa Bunge hilo, Ndg. Zephania Sane alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment