Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, Bungeni jijini Dodoma Mei
3.2019
Waziri wa Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akifurahia
jambo na Naibu Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,kazi ,Vijana,Ajira na
wenyeulemavu, Stella Ikupa, Bungeni jijini Dodoma Mei 3.2019
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na
Mbunge wa Nachingwea, Hassan Masala, katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei
3.2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment