Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akisalimiana na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,
Prof. Donald Mpanduji alipoalikwa kama Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa
Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC tukio lililofanyika tarehe 1
Aprili, 2019, Chuo Kikuu cha Dodoma Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kulia mbele) akiongozana na Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,
Prof. Donald Mpanduji (kushoto mbele) wakielekea ukumbini kwa ajili ya
Uzinduzi wa Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC tukio lililofanyika
tarehe 1 Aprili, 2019, Chuo Kikuu cha Dodoma Mjini Dodoma . Spika Ndugai
alialikwa kama Mgeni rasmi katika tukio hilo
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akipatiwa maelezo na Afisa kutoka Idara ya Kiswahili Chuo
Kikuu cha Dodoma, Ndg. Gervas Kasiga kuhusu huduma zinazotolewa na Idara
hiyo ikiwa ni pamoja na Masuala ya Utafiti na Ushauri, kabla ya
kuelekea Ukumbini kwa ajili ya kuzinduzi Matangazo ya Idhaa ya
Kiswahili ya BBC tukio lililofanyika tarehe 1 Aprili, 2019, Chuo Kikuu
cha Dodoma Mjini Dodoma. Spika Ndugai alialikwa kama Mgeni rasmi katika
tukio hilo
Wanafunzi na Wahadhiri wa Chuo
Kikuu cha Dodoma wakiwa katika uzinduzi wa Matangazo ya Idhaa ya
Kiswahili ya BBC tukio lililofanyika tarehe 1 Aprili, 2019, Chuo Kikuu
cha Dodoma Mjini Dodoma. Katika tukio hilo Spika Ndugai alialikwa kama
Mgeni rasmi
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizungumza na Wanafunzi, Wahadhiri na Wageni Mbali mbali wakati wa
uzinduzi wa Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC tukio lililofanyika
tarehe 1 Aprili, 2019, Chuo Kikuu cha Dodoma Mjini Dodoma. Katika tukio
hilo Spika Ndugai alialikwa kama Mgeni rasmi
Kwaya ya Chuo Kikuu cha Dodoma
wakiimba wakati wa uzinduzi wa Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC
tukio lililofanyika tarehe 1 Aprili, 2019, Chuoni hapo Mjini Dodoma.
Katika tukio hilo Spika Ndugai alialikwa kama Mgeni rasmi
\
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(wa tano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Makamu Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof. Donald Mpanduji (wa tano kushoto),
Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Ndg. Godwin Kunambi (wa pili kulia), Meya
wa Jiji la Dodoma, Prof. Davis Mwamfupe (wa tatu kushoto), Katibu Tawala
Msaidizi Mkoa wa Dodoma, Ndg. Aziza Mumba (kulia) na wageni Mbali mbali
baada ya Uzinduzi wa Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC tukio
lililofanyika tarehe 1 Aprili, 2019, Chuo Kikuu cha Dodoma Mjini Dodoma.
Katika tukio hilo Spika Ndugai alialikwa kama Mgeni rasmi
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment