Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kulia) akisalimiana na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Ndg. Florence
Mattli alipomtembelea leo katika Ofisi ndogo za Bunge Jijini Dar es
Salaam.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kulia) akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Ndg. Florence
Mattli alipomtembelea leo Ofisi ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
(kulia) katika picha ya pamoja na Balozi wa Uswisi nchini Tanzania, Ndg.
Florence Mattli baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisi ndogo za
Bunge Jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment