RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas
D.Ndumbaro, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia
leo,1/3/2019
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alipofika
Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha, leo, 1/3/2019. Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa na Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mhe.Dkt. Damas
D.Ndumbaro, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza
mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar leo,1/3/2019.
Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment