Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo kuhusu masuala ya madini wajumbe
wa Kamati ya Nishati na Madini, mafunzo hayo yamefanyika leo katika
Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(katikati) akiwa mgeni ramsi katika semina ya wajumbe wa Kamati ya
Nishati na Madini ya kuwajengea uwezo kuhusu masuala ya madini wajumbe
wa Kamati ya Nishati na Madini ,kulia kwake ni Waziri wa Madini Mhe.
Dotto Biteko na kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na
Madini Mhe, Dunstan Kitandula. Semina hiyo imefanyika leo katika Ukumbi
wa Msekwa Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment