Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa ndani ya ndege ya
Air Tanzania aina ya Airbus A220-300 wakati akielekea nchini Uganda
kuhudhuria mkutano wa Africa Now Summit 2019 unaoanza kesho tarehe 12
mjini Kampala Uganda. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi
wa Tanzania nchini Uganda Mhe. Dkt. Aziz P. Mlima mara baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe nchini Uganda. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda Mhe. Philemon Mateke mara baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Entebe tayari kwa
kushiriki mkutano wa Africa Now Summit 2019 utakaofanyika mjini Kampala
tarehe 12 na 13 mwezi Machi, 2019. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)




No comments:
Post a Comment