Kwa ufupi
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimesema
hatiwezi kutikisika wala kuyumba kutokana na uamuzi uliochukuliwa na
mwanachama wa chama hicho, Edward Lowassa
By Tausi Mbowe, Mwananchi tmbowe@mwananchipapers.co.tzChama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema kimesema hatiwezi kutikisika wala kuyumba
No comments:
Post a Comment