Amiri Jeshi
Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
(CDF) Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha
Monduli Brigedia Jenerali Steven Mnkande wakati wakielekea kwenda kupiga picha
za kumbukumbu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) wakila kiapo cha Utii mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kutunukiwa Kamisheni Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Maafisa
Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Wakivalishana vyeo mara baada
ya kutunukiwa Kamisheni na Amiri Jeshi Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli katika tukio lililofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment