RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi
wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar,kuhusiana na
maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara hiyo,kushoto Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Mshauri wa Rais
Masuala ya Uwekezaji na Uwezeshaji Mhe. Abdulrahman Mwinyijumbe, mkutano
huo umefanyika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi
wa Wizara ya Kilimo Maliasi, Mifugo na Uvuvi Zanzibar,kuhusiana na
Maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara hiyo,kushoto Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Kilimo
Maliasili,Mifugo na Uvuvi Zanzibar, Mhe. Rashid Ali Juma, wakiwa katika
ukumbi wa mikutano Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Kilimo,
Maliasili,Mifugo na Uvuvi Zanzibar. Mhe. Rashid Ali Juma, akiwasilisha
ripoti ya Maendeleo ya Miradi mbalimbali ya Wizara yake ,wakati wa
mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko pichani na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Wizara ya Kilimo
Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar, wakifuatilia taarifa ya maendeleo ya
Miradi ya Wizara hiyo, wakati ikiwasilishwa na Waziri wa Kilimo
Maliasi, Mifugo na Uvuvi.Mhe. Rashid Ali Juma, wakati wa mkutano na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo
Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Bi. Maryam Juma Sadalla, akichangia
wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,kuzungumzia maendeleo ya Miradi ya
Wizara hiyo, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi
wa Wizara ya Kilimo Maliasili, Mifugo na Uvuvi Zanzibar, katika ukumbi
wa mikutano Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment