/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduz Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla. wakati akiwasili Uwanja wa
Ndege wa Pemba kuhudhuria Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo kuadhimisha
Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar na kesho kuhudhuria Mazoezi ya Viungo
ya Kitaifa katika Uwanja wa Gombani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Mkuu wa
Mkoa wa Kusini Pemba. Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, alipowasili katika
Uwanja wa Ndege Kisiwani Pemba leo jioni,31-12-2018, kuhudhuria Uzinduzi
wa Miradi ya Maendeleo kuadhimisha shamrashamra za Miaka 55 ya
Mapinduzi ya Zanzibar na kushiriki Mazoezi ya Viungo ya Kitaifa
yatakayofanyika kesho katika Uwanja wa Gombani.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment