Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum katika Kongamano hilo
akiandika baadhi ya Hoja katika Kongamano hilo.
Baadhi ya
Washiriki wa Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka
mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano wakisikiliza kwa makini wakati Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa
mshiriki Maalum alipokuwa akizungumza katika ukumbi wa Nkuruma katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa Mshiriki Maalum,
akizungumza na Wageni mbalimbali wakiwemo Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam, Viongozi wa Kiserikali, Mabalozi kutoka nchi mbalimbali, pamoja na
wananchi waliohudhuria katika Kongamano
la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu
ya Tano lililofanyika katika ukumbi wa Nkuruma uliopo katika Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam.

Sehemu ya Watoa
Mada wakiwa Wanasikiliza michango mbalimbali iliyokuwa ikitolewa katika Ukumbi
wa Nkuruma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Profesa
Humphrey Moshi, Profesa Kitila Mkumbo, Makamu Mkuu wa Chuo Profesa William
Anagisye, Profesa Rwekaza Mukandala, Profesa Martha Qorro pamoja na Profesa
Hudson Nkotagu
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa Mshiriki Maalum
akiwa pamoja na washiriki wengine wakisikiliza mada mbalimbali zilizokuwa
zikitolewa na Watoa Mada katika Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika
kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano lililofanyika katika
ukumbi wa Nkuruma uliopo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum
katika Kongamano hilo akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Wasichana ya Kisutu
mara baada ya kutoka katika Ukumbi wa Nkuruma katika Chuo kikuu cha Dar es
Salaam. Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliokuwa nje ya Ukumbi wa Nkuruma wakifatilia Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano kwa njia ya Luninga wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum alipokuwa akizungumza katika ukumbi wa Nkuruma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.(PICHA NA IKULU)

No comments:
Post a Comment